Saturday, March 26, 2011

Artists' Meeting at Nafasi this J'pili!

Attention:


Dear Artists na Wasanii!


Napenda kuwaarifu kuwa kutakuwa na mkutano wa Wasanii wa Sanaa za ufundi (Visual Arts),

Utakaofanyika siku ya Jumamosi Tarehe 02 Aprili 2011 Saa 4 Asubuhi Pale Nafasi Art Space - Mikocheni

Ajenda za Mkutano huo ni:
1. Kufungua Mkutano
2. Kujadili namna Wasanii wanavyoweza kutumia Nafasi Art Space
3. Maonyesho, Majadiliano, Tamasha n.k
4. Mchango (Ada) wa kutumia Nafasi
5. Mafunzo ya kila wiki kwa watoto
6. Mengineyo

Tafadhali sana Mara upatapo ujumbe huu muarifu na mwenzako, usikose kuhudhuria kwani ni kikao

Muhimu sana kwa maendeleo ya Sanaa nchini.

Dear Artists!
I would like to invite you to the meeting which will take place on Saturday 2nd April 2011 at 10:00AM

at Nafasi Art Space - Mikocheni


Agenda:
1. Opening of the meeting
2. Discussion on how to use Nafasi art Space
3. Exhibitions, Discussions, Events etc.
4. Fees for the space
5. Weekly training for children
6. Any Other Businesses

Please, once you receive this message, inform others and Don’t miss this very important

meeting for the development of our art scene in Tanzania.--
Gadi Ramadhani (Admin.Manager)
Nafasi Art Space
Dar es Salaam
Tanzania

No comments:

Post a Comment