Wednesday, April 13, 2011

Nafasi Based Artst!! MEETING!!!

Are you? Nafasi Based Artist or you want to be Nafasi member and it has been great working along with all of you.
Your invited to the Nafasi Art Space Based Artist Meeting on 23th April 2011 at 15:00pm here at Nafasi Art Space.

Kikao cha Wasanii wote wa Nafasi!!

Wewe ni? Msanii wa Nafasi Art Space au unaitaji kuwa mwanachama na Imakuwa faraja kwetu kuwa na wewe hapa Nafasi Art Space.

Tunakualika nyote kushiriki katika kikao cha Wanasanaa wa Nafasi Art Space 23th April 2011 at 15:00pm hapa Nafasi Art Space.

KARIBUNI!!!

No comments:

Post a Comment